East Africa / ILRI / Kenya / Livestock / Pastoralism / Tanzania / Wildlife

Kudumisha uhusiano kati ya jamii, ufugaji na wanyamapori: Mwongozo wa ushirikishwaji katika kupanga Matumizi ya ardhi

Mwongozo huu umeandaliwa ili kusaidia jamii na watunga sera katika ngazi ya jamii na kitaifa kufanya maamuzi na uchaguzi sahihi kuhusu matumizi ya ardhi, biashara, na sera za kitaifa kwa maeneo ya wafugaji, hasa nyika za umasaini na maeneo makame ya Afrika ya Mashariki.

Kitini hiki kinachoeleza mfumo wa kusaidia ufanyaji maamuzi, Kudumisha uhusiano kati ya jamii, ufugaji na wanyamapori ni matokeo ya kazi iliyofanywa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Mfuko wa Uhifadhi Wanyamapori Afrika (AWF) na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI), pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mradi wa Mifumo mipya ya kujumuisha mifugo na wanyamapori kwenye maeneo ya malisho yaliyopo pembezoni mwa hifadhi za Taifa katika Afrika – Tanzania uliofadhiliwa na Mfuko wa Dunia wa Mazingira (GEF) na Benki ya Dunia.

Read more … (FAO)

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s